Rapa Offset Wa Migos Akamatwa Na Polisi (VIDEO)

Rapa Offset ametiwa mikononi mwa polisi baada ya polisi kupata taarifa kuwa kuna mtu kwenye kundi la msanii huyo alikuwa na silaha katika eneo la Los Angeles Shopping Center.
Hivyo polisi wamemtia nguvuni kwa uchunguzi zaidi.

By TMZ


EmoticonEmoticon