Rasmi Mbwanna Samatta Ajiunga Na Aston Villa

Mbwana Samatta
Straika wa Timu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza kwa ada ya £9m.

Samatta atatambulishwa rasmi kwenye klabu hiyo mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya.


EmoticonEmoticon