Ukaribu Wa Rihanna Na Asap Rocky Wazua Mjadala

Asap Rock & Rihanna
Ukaribu wa Rihanna na ASAP Rocky umezidi kunoga, na sio kawaida tena. Wawili hao wameonekana wakiwa pamoja huku furaha ikitawala kati yao.
Asap Rock & Rihanna
Hii ni masaa machache baada ya Riri kutangazwa penzi lake na Bilionea wa Kiarabu Hassan Jameel limevunjika!.


EmoticonEmoticon