Umesikia Bei Ya Pogba? Juventus Na Real Madrid Wajipange Sana. Mipango Ya Man U

Manchester United inajiandaa kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, kwa Real Madrid au Juventus mwezi huu, lakini wanataka £150m

Pia Manchester United inapania kuwanunua viungo wa kati wa Aston Villa Jack Grealish, 24, na James Maddison, 23, kutoka Leicester.

Wachezaji wengine wanolengwa na United ni kiungo wa kati wa Juventus na Ujerumani Emre Can, 25, na Sean Longstaff, 22, wa Newcastle.


EmoticonEmoticon