VIDEO | Future - Life Is Good (Official Video) ft. Drake

Good Video By Future Featuring Drake
Watch/Stream Life Is Good Video By Future Featuring Drake

Mwanzo mzuri wa mwaka 2020 kwenye tasnia ya burudani, Rapa Future amemshirikisha Drake kwenye ngoma yake mpya Life Is Good ambapo humo ndani wameonekana baadhi ya mastaa wenye majina makubwa kwenye industry akiwemo Produce Mike Will, rapa 21 Savage na wengine. Video imeongozwa na Director X.


EmoticonEmoticon