VIDEO | Ommy Dimpoz x Nandy - Kata (Official Video)

Kata Video By Ommy Dimpoz And Nandy
Watch/Download Kata Video By Ommy Dimpoz And Nandy

Picha za video wa wimbo huu zilianza kusambaa mwaka mpya na zilipatikana kwenye akaunti ya Ommy Dimpoz ya Instagram na zilionyesha kuna ujio wa kazi toka wawili hawa. Right now furahia kuitazama video ya Kata ambayo ni colabo ya Dimpoz na Nandy
DOWNLOAD VIDEO|MP4

 DOWNLOAD AUDIO|MP3