Washindi Wa Tuzo Za Sound City MVP 2020, Diamond Atoka Patupu Na Kuandika Haya

Usiku wa kuamkia January 12,2020 lilifanyika zoezi la ugawaji wa Tuzo za Sound City MVP ambazo zilifanyika huko Lagos nchini Nigeria.

Katika Tuzo hizo msanii Burna Boy aling’ara zaidi baada ya kufanikiwa kuchukua Tuzo tatu kupitia vipengele vya Best Male MVP, Song of the year na African artist of the year.

Msanii Diamond Platnumz hakuweza kuondoka na tuzo hata moja lakini alipata nafasi ya kutumbuiza kwenye tamasha hilo kwa kishindo kikubwa. 
Diamond Performance Soundcity Mvp 2020
Kupitia akaunti yake ya instagram ameweza kushukuru na kuwapongeza wote walioondoka na ushindi.
Diamond Platnumz Instagram Caption
Hata hivyo wasanii wengine ambao wamefanikiwa kuchukua Tuzo hiyo ni pamoja na Khaligraph ambaye ameshinda kipengele cha Best Hip Hop na msanii Rema ambaye ameshindia kipengele cha Best New MVP.

Orodha Kamili Ya Washindi
Best New MVP
Rema (NG) – Winner

Best Collaboration
Gugulethu – Prince Kaybee [SA] – Winner

Best Pop
JoeBoy (NG) – Winner

Best Hip Hop
KHALIGRAPH Jones (KE) – Winner

Best Duo
DopeNation (GH) – Winner

African Producer of the Year
Rexxie (NG) – Winner

Best Female MVP
Teni (NG) – Winner

Best Male MVP
Burna Boy (NG) – Winner

African DJ of the Year
DJ Spinall (NG) – Winner

Digital Artiste of the Year
Davido (NG) – Winner

Listeners’ Choice
Jealous – Fireboy DML (NG) – Winner

Viewers’ Choice
Soapy – Naira Marley (NG) – Winner

Video of the Year
49-99 – Tiwa Savage by Meji Alabi (NG) – Winner

Song of the Year
Killin Dem – Burna Boy (NG) – Winner

African Artiste Of The Year
Burna Boy (NG) – Winner

Excellence in Music: Innocent Idibia (2Baba) – Winner 
Excellence in Philanthropy: DJ Cuppy – Winner
Excellence in Sports: Anthony Joshua – Winner
Excellence in Social Entrepreneurship and Digital Influence: Bright Jaja – Winner
Community and Socio-Political Development: Adebola Williams & Jude Jideonwo – Winner


EmoticonEmoticon