Waziri Wa Fedha Tito Mboweni Apendekeza Biashara Ya Bangi Ihalalishwe

Bangi
Waziri wa fedha wa Afrika Kusini Tito Mboweni ametoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kuhalaliisha biashara ya bangi ili kuongeza ukusanyaji ushuru.
Alitoa pendekezo hilo katika Twitter yake na kuongeza kuwa atawasilisha wazo hilo katika kikao cha baraza la mawaziri
Pia liweka picha inayoonesha mmea huo unavyokuwa:
Uuzaji wa bangi ya kiasi chochote ni kinyume cha sheria, kwa mujibu wa sheria za Afrika Kusini. 
Credit:Bbc


EmoticonEmoticon