2 Chainz Kumuenzi Kobe Brayant Kwa Style Yake

Rapa Mmarekani, 2chainz ametuonyesha mchoro (tattoo) mpya aliouchora katika miguu yake kama kumbukumbu ya kumuenzi nguli wa kikapu Duniani, Marehemu Kobe Bryant.

2 Chainz amechora namba 24 katika miguu yake, ikiwa namba 2 kwenye mguu mmoja na 4 kwenye mguu mwingine.
Aidha, Marehemu KobeBryant ameripotiwa kuwa tayari ameshazikwa katika maziko ya siri ambayo yamefanyika Ijumaa, Februari 7 wiki iliyopita.


EmoticonEmoticon