EP : Flower By Rayvanny Sikiliza EP Nzima Hapa

Flower Album Rayvanny
EP (Extended Play) ya kwanza toka kwa msanii wa WCB Rayvanny ameachia inaitwa Flowers.

EP hiyo amei dedicate kwenye siku ya wapendanao ambayo huwa ni tarehe 14 February.

Wasanii walioshirikishwa katika album hiyo ni Mr Blue, Karen na Messias Maricoa.

Ma Producer walioshiriki kuiandaa EP hiyo ni Gach B, Lizer Classic, Bob Manecky, Nusder pamoja na Zest.

Nimekuwekea audio zote za album zenye ubora wa kusikika (High Quality) Pakua single hapo baada ya kusikiliza au unaweza kupakua album nzima chini kabisa.


1.NAOGOPA
DOWNLOAD


2.EX BOYFRIEND
DOWNLOAD


3.MAMA LA MAMA FT MR BLUE
DOWNLOAD


4.TEAMO FT MESSIAS MARICOA
DOWNLOAD


5.SWEET MELODY
DOWNLOAD


6.ONE FT KAREN
DOWNLOAD


7.VUMILIA
DOWNLOAD


EmoticonEmoticon