Amber Rose Awakutanisha Mabwana Zake Wawili Na Kupiga Picha Moja

Staa maarufu nchini Marekani, mwanamama Amber Rose awakutanisha wanaume wake kwenye picha moja ambao wote ni Baba wa watoto wake.

Pichani ni mpenzi wake wa sasa Alexander Edwards na Ex wake, rapa Wiz Khalifa wakiwa na watoto wao.

Sebastian Taylor (6), Amber alifanikiwa kupata mtoto wake huyo wa kwanza akiwa kwenye uhusiano na rapa Wiz Khalifa huku Slash Electric alijifungua Oktoba mwaka jana huku akiwa mtoto wake wa pili, lakini ni mtoto wa kwanza na mpenzi wake wa sasa Alexander Edwards.


EmoticonEmoticon