Bao La Kwanza Mbwana Samatta Kwenye EPL, Mechi Dhidi ya Aston Villa Na AFC Bournemouth (VIDEO)

Licha ya kufungwa mabao 2-1, Mbwana Samatta ameifungia Klabu yake ya Aston Villa bao 1 katika mchezo wake wa kwanza kwenye EPL dhidi ya AFC Bournemouth usiku wa February 1 Jumamosi.
Dakika ya 70, Mbwana Samatta alipachika bao lake la kwanza katika mechi yake ya kwanza EPL. 

Mbwana Samatta ameiweka Tanzania katika orodha ya nchi 117 ambazo zimetoa wachezaji waliowahi kutumikia vilabu vya Premier League.

TAZAMA HIGHLIGHS 


EmoticonEmoticon