Habari 5 Kubwa Za Soka Ijumaa Feb 14

Habari 5 Kubwa Za Soka Ijumaa Feb 14
1.Pep Guardiola amedai kwamba Manchester City huenda ikamfuta kazi iwapo watashindwa kuilaza Real Madrid katika kombe la mabingwa Ulaya.
Hatahivyo kufutwa kazi kwa Guradiola sio kitu rahisi kutokana na rekodi yake bora alioiweka baada ya kushinda mataji matano muhimu licha ya kushindwa kuiepeleka mbele ya robo fainali ya kombe la klabu bingwa katika majaribio matatu.
2. Paris St-Germain imejianda kumpatia mshambuliaji wake Kylian Mbappe kandarasi ya malipo ya £41m kila mwaka ili kuzuia kumpoteza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 kwenda Real Madrid 2021.
Club hiyo ina mpango wa kumsaini kipa wa Man United mwenye umri wa miaka 22 Dean Henderson, ambaye kwa sasa yupo kwa mkopo katika klabu ya Sheffield United.
3. Manchester United imeruhusiwa kumsaini mshambuliaji wa Lyon na Ufaransa Moussa Dembele, 23, kwa dau la £60m deal. Chelsea pia imepatiwa motisha wa kumsaka Dembele huku rais wa Lyon Jean-Michel Aulas akikiri watamuuza mchezaji anayetaka kuondoka ".
4. Real Madrid iko tayari kuilipa Inter Milan £120m zinazohitajika kumuachilia mshambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez, 22, kutoka katika kandarasi 
5. Tottenham inafikiria kumsaini beki wa Norwich na England mwenye thamani £50m Ben Godfrey, 22. 


EmoticonEmoticon