Habari 5 Kubwa Za Soka Jumamosi Feb 22


1.Barcelona iko tayari kupambana na Chelsea katika kuwania usajili wa mlinda lango raia wa Cameroon, 23, anayechezea klabu ya Ajax, Andre Onana. 

2. Manchester United wameonesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa Wolves na Ureno Diogo Jota, 23.

3. Barcelona inajipanga kimsajili kiungo wa kati wa Manchester City Bernardo Silva, 25 dirisha la usajili litakapofunguliwa.

4. Aliyekuwa maneja wa Juventus na AC Milan, Massimiliano Allegri, amesema kwamba anataka kurejea katika kazini ifikapi Septemba huku Manchester United ikisemekana kuwa miongoni mwa vilabu vinavyomkodolea macho.

5. Meneja wa Crystal Palace Roy Hodgson yuko tayari kusaini mkataba wake mpta kwasababu anaamini kwamba klabu inamaono mazuri hasa ya kipindi cha usajili.


EmoticonEmoticon