Habari 5 Kubwa Za Soka Jumapili Feb 23

1.Mchezaji wa Manchester United na Ufaransa Anthony Martial, 24, ambaye analengwa na Inter ili kuchukua nafasi ya mashambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez, 22, ambaye pia anawindwa na Barcelona.

2. Liverpool imeingia katika kinyanganyiro cha kutafuta kumsajili mshambuliaji, Jude Bellingham, 16, ambaye huenda akawagharimu £30 na pia amehusishwa na kuhamia Manchester United. 

3. Manchester City itapata ushindani kutoka kwa Real Madrid kwa mchezaji wa Fabian Ruiz, 23, ambaye inasemekana thamani yake ni £80m.

4. Chelsea wameonyesha nia ya kumsajili mchezaji wa Inter Mauro Icardi, ambaye yuko Paris St-Germain kwa mkopo na huenda wakamtafuta wakati wa dirisha la usajili litakapofunguliwa.

5. Mshambuliaji wa Juventus na Ureno Cristiano Ronaldo, 35, alifikia makubaliano na Real Madrid, 2008 kabla ya kwenda kuichezea Manchester United kwa mwaka mwengine.


EmoticonEmoticon