Hizi Ndyo Sababu Zilizopelekea Mechi Ya Man City Vs West Ham Kuahirishwa

Mchezo wa ligi kuu England baina ya Manchester City dhidi ya West Ham United umeghairishwa kufuatia kuwepo kwa hali mbaya ya hewa.

Mechi hiyo ambayo ilipaswa kupigwa leo siku ya Jumapili katika dimba la Etihad, umegharishwa kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya klabu ya Manchester City ambaye alikuwa mwenyeji wa mchezo.
Hali mbaya ya hewa inayokwenda sanjari na dhoruba Ciara (Storm Ciara) imepelekea kugharishwa kwa mechi hiyo na nyingine baadhi huko England zilizopangwa kuchezwa leo siku ya Jumapili.


EmoticonEmoticon