Ifahamu Tattoo Mpya Ya Msanii Chris Brown Aliyoichora Shavuni

ChrisBrown
Nyota wa muziki wa RnB, Christopher Maurice maarufu ChrisBrown (30), ametuonyesha rasmi tattoo yake mpya aliyochora shavuni.

Yawezekana ni mapenzi ya aina yake aliyonayo msanii huyo katika viatu vya AirJordan3 Retro baada ya kuichora tattoo hiyo shavuni kwake ikionyesha kiatu hicho.

Itakumbukwa, kupitia mtandao wa Us Weekly Breezy aliwahi kuuambia mtandao huo kuwa alipata tattoo yake ya kwanza akiwa na miaka 13 ambapo alianza kwanza kuchora nyota.


EmoticonEmoticon