Justin Bieber Ndiye Msanii Wa Kwanza Duniani Kushikilia Rekodi Kubwa Youtube

Justin Bieber
Staa wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Bieber, ndiye msanii kinara kwa Subsribers wengi kwenye mtandao wa YouTube duniani, akiwa na jumla ya Subscribers Milioni 50.1

Bieber ameendelea kuwa kinara mbele ya Ed Sheeran mwenye Subscribers (43.4M), Marshmello (42.7M), Eminem (40.8M) na Top 5 inakamilishwa na Ariana Grande (39.6M) ambaye pia anaongoza kwa upande wa Wasanii wa Kike.


EmoticonEmoticon