Kauli Ya Elto John Baada Ya Kutoa Machozi Kwenye Stage Akilia


Mwanamuziki nguli na mkongwe Dunian, Elton John ambaye alishindwa kuendelea na show yake nchini New Zealand wikiendi ilyopita kutokana na changamoto za kiafya zinazomkabili msanii huyo ambaye anadaiwa kusumbuliwa na tatizo la Mapafu ( Pneumonia).

Elton John alimwaga machozi kwenye stage baada ya kujikuta akipoteza sauti ya kuimbia ndipo ikabidi awaeleze mashabiki wake kuwa hataweza kuendelea na show.

”Nimepoteza sauti yangu kabisa, siwezi kuimba, itabidi niondoke, Samahani” – Elton John


EmoticonEmoticon