Producer Swizz Beatz Wa Marekani Amuomba Diamond Kumtumia Video Ya Wimbo Wake Mpya

Swizz Beatz & Diamond Platnumz
Katika ngoma mpya iliyotolewa na Diamond pamoja na Tanansha Donna, 'Gere' imezua ngumzo baada ya msanii na mtayarishaji mkubwa kutoka Marekani, Swizz Beatz  kumuomba Diamond amtumie wimbo huo. 
Kupitia ukurasa wa Diamond wa Instagrama msanii huyo ambaye ni Swiz Beatz aliandika comment, 'Send me this ASP'  ambapo Simba aliijibu kwa kuandika 'One Second'.


EmoticonEmoticon