Shirika La Afya Duniani (WHO) Latangaza Jina Jipya La Virusi Vya Corona Pamoja Na Kutoa Ushauri

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema virusi vya corona ni kitisho kikubwa Duniani na ugonjwa huo unafaa kuitwa “Adui namba moja wa jamii”.

Ugonjwa unaotokana na virusi hivyo sasa umepewa jina rasmi na unaitwa COVID- 19 ikiwa inatokana na maneno ‘Coronavirus Disease 2019’.

“Dunia isipoamka na kuuona ugonjwa huu kama Adui namba moja kwa jamii, hatutojifunza kupitia makosa na tutaendelea kuuchukulia poa huku ukizidi kuua Watu, huu ugonjwa ni hatari”.


EmoticonEmoticon