Taarifa Za Kuhusu Maziko Ya Siri Ya Kobe Brayant Na Mwanaye

Ripoti mpya za vyanzo mbali mbali imeripotiwa taarifa mpya zikithibitisha wazi kuwa Marehemu Kobe Bryant na binti yake Gianna wameshazikwa katika maziko ya siri ambayo yamefanyika Ijumaa (Februari 7) wiki iliyopita.

Itakumbukwa, wiki iliyopita Vanessa Bryant alitoa taarifa na tarehe ya kutoa heshima za mwisho kwa halaiki ambapo aliitaja Februari 24.

Mtandao huo uliendelea kuripoti kwamba siku hiyo ya Februari 24, itabaki hivyo hivyo kwa watu kukusanyika katika ukumbi wa Staples Center Jijini Los Angeles.


EmoticonEmoticon