Unakijua Chanzo Cha Ugomvi Wa T.I Na Mayweather? Floyd Afunguka Ulisababishwa Na Nini

Ugomvi wa T.I. na Floyd Mayweather ulikuwa kwenye headlines kwa miaka kadhaa iliyopita, ulianza wakiwa kwenye eneo la starehe. Za chini chini zilisema kwamba kisa ni mke wa T.I - Tiny Harris.

Ukweli umeanikwa sasa, Kwenye mahojiano na Drink Champs, Floyd alikuwa mgeni kwa wiki hii na alisema chanzo cha ugomvi wao ni Tiny, hii ni baada ya kuulizwa kama ni kweli alichapwa ngumi na T.I wakati wa ugomvi huo
-
"Ni hivi, nilimwambia hivi. Kama unahisi mke wako ni Kombe, basi anatakiwa kubaki kabatini." alisema Floyd.


EmoticonEmoticon