Drake Amuweka Wazi Mwanaye Wa Miaka 3 (PICHA)

Hatimaye Drake amemuweka wazi mtoto wake, Adonis. Taarifa za Drake kupata mtoto kwa mara ya kwanza ziliwekwa wazi na Pusha T kwenye disstrack yake “Story of Adidon”. Adonis alizaliwa Oktoba 11, 2017.
EmoticonEmoticon