Habari 5 Kubwa Za Soka Ijumaa March 20

1. Man United watakubali kutoa pauni milioni £100 kwa ajli ya kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27. Real Madrid na Juventus wote wanamtaka.

Pia imeomba kusaini mkataba na mshambuliaji Mbrazil Philippe Coutinho, mwenye umri wa miaka 27, kutoka Barcelona.

2. Difenda wa Austria David Alaba, mwenye umri wa miaka 27, anaangalia uwezekano wa kuondoka katika Bayern Munich huku Real Madrid na Barcelona wote wakimtaka.

3. Kiungo wa kati wa Bosnia Miralem Pjanic, mwenye umri wa miaka 29, anaweza kuondoka Juventus msimu huu, huku Manchester City na Chelsea wakimtaka.

4. Mlindalango wa Italy Gianluigi Donnarumma, mwneye umri wa miaka 21, ataondoka AC Milan na kuhamia katka klanu ya Ufaransa ya Paris St-Germain au Primia Ligi.

5. Atletico Madrid wanaangalia uwezekano wa kuongeza mkataba wa kiungo wakati Mghana Thomas Partey, mwenye umri wa miaka 26, hadi mwaka 2025 na kufuta kipengele cha mkataba wake cha Euro milioni 100 million (£92m) huku timu za Arsenal na Manchester United zikimtaka.


EmoticonEmoticon