Mabilioni Yaliyotolewa Na Messi Pamoja Na Cristiano Ronaldo Ili Kusaidia Waathirika Wa Corona

Staa wa FC Barcelona Lionel Messi ametoa msaada katika hospitali na clinic jijini Barcelona wa euro milioni 1 (Tsh Bilioni 2.4) kwa ajili ya mapambano na virusi vya corona.

Kwa upande mwingine staa wa Juventus na Ureno Cristiano Ronaldo na wakala wake Jorge Mendes hadi sasa wametoa msaada nchini Ureno wenye thamani ya pound milioni 1 (Tsh Bilioni 2.7) kwa ajili ya mapambano ya virusi vya corona


EmoticonEmoticon