Ndoa Zapigwa Marufuku Kisa Corona Uganda

Uganda wamepiga marufuku sehemu zenye mikutano na mkusanyiko pamoja na kutofanyika kwa Harusi.

Nukuu kutoka kwa Rais wa Uganda akizungumza kuhusu kupiga marufuku mikutano ya sherehe….’Idi Amin Dada alikuwa virusi vya corona vya kipindi kile, kwasababu yake mimi na Janet tulifanya harusi ya kisayansi mwaka 1973 ya Watu wachache, nasitisha harusi zote kwa siku 32, ukifanya harusi iwe ya kisayansi isiyozidi Watu 10, baada ya siku 32 mtaifanya ya wengi” -Rais Museveni wa Uganda


EmoticonEmoticon