VIDEO | Kygo, Zara Larsson, Tyga - Like It Is

Like This Video By Kygo, Tyga and Zara Larsson

Mkali wa muziki aina mbalimbali ikiwemo Downtempo 'Kygo' amewakutanisha T-Raw na Zara Larsson kwenye video ya wimbo wake mpya "Like This". 

Wimbo wake huu umekuja baada ya kutoa taarifa ya kuachia ngoma pamoja na album ndani ya wiki hii. 

Album yake ya mwisho ilitoka mwaka 2016 iliyokuwa inaitwa 'Cloud Nine' lakini 2017 aliachia EP iliyokuwa inaitwa 'Kids In Love'.EmoticonEmoticon