VIDEO | The Weeknd - In Your Eyes (Official Video)

"In Your Eyes" Video By The Weeknd

Video mpya ya "In Your Eyes" toka kwa msanii maarufu wa Pop, 'The Weeknd'. Wimbo huu unapatikana kwenye album yake mpya, 'After Hours' ambayo ilitoka March 20. Video imeongozwa na Anton Tammi.


EmoticonEmoticon