CORONA : Idadi Ya Maambukizi Yafikia Watu 24 Tanzania

Wizara ya Afya imethibitisha ongezeko la wagonjwa wengine wanne wa corona kutoka Dar es Salaam, Mwanza na Zanzibar na kufanya kuwepo kwa jumla ya kesi 24 tangu kuaza kwa ugonjwa huu hapa nchini.

Wagonjwa hawa ni pamoja na wagonjwa wawili waliotolewa taarifa na Wizara ya Afya Zanzibar.


EmoticonEmoticon