CORONA : Waziri Mkuu Wa Marekani Alazwa Katika Chumba Cha Wagonjwa Mahututi

Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amelala hospitalini katika chumba cha wagonjwa mahututi baada ya afya yake kuzorota kutokana na virusi vya corona.
Ofisi yake imesema kwamba alipelekwa katika chumba hicho kutokana na ushauri wa madaktari wake na kwamba alikuwa akipokea uangalizi wa karibu sana.
Bwana Johnson amemtaka waziri wa maswala ya kigeni Dominic Raab kumsaidia pale atakapoweza, msemaji alisema.


EmoticonEmoticon