Cristiano Ronaldo Huwa Anampa Mpenzi Wake Kiasi Cha Tsh Milion 273 Kila Mwezi

Licha ya kua bado hawajafunga ndoa rasmi, lakini Nyota wa Soka Duniani Christiano Ronaldo, anamuhudumia mpenzi wake na mama wa mtoto wake Georgina ipasavyo.

Staa huyo amethibitisha kuwa anampatia mpenzi wake huyo zaidi ya shilingi Milion 273 kila mwezi ili afanyie matumizi madogo madogo ya Nyumbani.

Ronaldo ameliambia Jarida la Foreign Policy , pesa izo Ni kwaajili ya matumizi binafsi ya Mwanadada huyo , kununua mahitaji yake na gharama ndogo ndogo za kila siku .
"Ni Mwanamke Bora, na Mama mzuri wa wanangu, nampenda kuliko chochote" - Ronaldo ameliambia Jarida hilo


EmoticonEmoticon