Habari 5 Kubwa Za Soka Ijumaa April 3

Tetesi Za Soka Barani Ulaya Ijumaa April 3

1. Mshambuliaji wa Bournemouth Callum Wilson, 28, amesema hastahili kuhusishwa na ligi kubwa kama ya England kutokana na namna uchezaji wake duni msimu huu.
2. Mshambuliaji wa Gent na Canada Jonathan David, 20, amekiri kuwa angelipendelea kucheza soka ya Ligi ya Primia siku zijazo.
3. Pierre-Emerick Aubameyang, 30, mshambulliaji wa Arsenal na pamoja na winga wa Manchester City Leroy Sane, 24, ni miongoni mwa wachezaji wanaoumiza vichwa klabu kuhusu kurefushwa kwa mikataba yao baada ya ratiba ya dirisha la uhamisho kusongezwa mbele.
4. Mshambuliaji wa Wolves na Mexico Raul Jimenez, 28, amedokeza kuwa hawezi kuodoka klabu hiyo kutokana na masharti ya mkataba wake licha ya Manchester United na Real Madrid kuonesha ishara ya kutaka kumsajili.

5. Kiungo wa kati wa Uhispania Dani Ceballos, 23, amejumuishwa katika orodha ya wachezaji wa ziada wanaotakiwa kwa mujibu wa kanuni ya Real Madrid, kutoa nafasi kwa Arsenal kumnunua. 


EmoticonEmoticon