Habari 5 Kubwa Za Soka Alhamisi April 30

Tetesi Za Soka Barani Ulaya Alhamisi April 30

1. Mauricio Pochettino ni chaguo la kwanza la mmiliki mtarajiwa wa Newcastle kuchukuwa nafasi ya mkufunzi Steve Bruce na wako tayari kumlipa £19m kwa mwaka.

2. Arsenal wameripotiwa kuwasiliana na Real Madrid kuhusu uhamisho wa beki wa Uhispania Sergio Reguilon, 23, ambaye yupo Sevilla kwa mkopo.

3. Mkufunzi wa Bayern Munich Hansi Flick amefanya mazungumzo ya simu ya dakika 30 na winga wa Manchester City na Ujerumani Leroy Sane, 24, kujadili uwezekano wa uhamisho wake.

4. Winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20, amepewa ofa ya nafasi saba na Manchester United katika juhudi za kumshawishi ajiunge na klabu hiyo.

5. Kiungo wa Ufaransa Tanguy Ndombele, 23, anatathmini hatima yake ya baadae katika klabu ya Tottenham, huku Barcelona wakimmezea mate.


EmoticonEmoticon