Habari 5 Kubwa Za Soka Jumamosi April 4

Tetesi Za Soka Barani Ulaya Jumamosi April 4

1. Mabigwa wa Italian Juventus wako tayari kumuuza winga wao raia wa Brazil Douglas Costa, 29, kwa Manchester City kama sehemu ya makubaliano ya kuweza kumsajili Gabriel Jesus, 23.

2. Chelsea iko katika majadiliano na mchezaji raia wa Brazil Philippe Coutinho, 27, kuhusu usajili wa msimu ujao ambaye kwasasa yuko kwa mkopo Bayern Munich kutoka Barcelona.

3. Manchester Unite wamearifiwa kwamba hawana tena fursa ya kumsajili mshambuliaji wa Tottenham na Uingereza Harry Kane kwasababu ya kandarasi yake ya muda mrefu ambayo inamalizika 2024.

4. Real Madrid imejipanga kupuuza mapendekezo yoyote kutoka kwa Manchester City ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Raphael Varane, 26. 

5. Kocha wa Everton Carlo Ancelotti ameanzisha mpango wenye uwezo mkubwa wa kuwashawishi kiungo wa kati wa Real Madrid Gareth Bale, 30, na James Rodriguez, 28, kuhamia Goodison Park.


EmoticonEmoticon