Habari 5 Kubwa Za Soka Jumatano April 29

Tetesi Za Soka Barani Ulaya Jumatano April 30

1. Manchester United huenda wakalazimika kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27, kwa bei ya chini kutokana na athari za janga la corona katika mchezo wa soka.

2. Newcastle na Everton wanang'ang'ania saini ya kiungo wa kati wa Ajax na Netherlands Donny van de Beek. Manchester United na Real Madrid pia wamehusishwa na nyota huyo wa miaka 23.

3. Everton wamempatia ofa ya mkataba wa miaka minne kiungo wa kati wa Real Madrid na Colombia James Rodriguez, 28.

4. Liverpool imeanza mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Lille na Nigeria Victor Osimhen, 21.

5. Arsenal watamuuza mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 30, kwa dau la £30m kwasababu hawataki aondoke klabu hiyo kwa uhamisho wa bila malipo. 


EmoticonEmoticon