Ligi Kuu England (EPL) Kuwekwa Lockdown Kwa Wiki 6

Kwa mujibu wa mtandao wa The Mirror umeripoti kuwa wachezaji wa Ligi Kuu England (EPL) watawekwa Lockdown katika hotel kwa wiki 6 kabla ya kuanza kumaliza msimu wa EPL 2019/2020 bila uwepo wa mashabiki uwanjani Sababu ya virusi vya corona, majadiliano hayo yanaendelea


EmoticonEmoticon