Playboi Carti Na Iggy Azalea Wafanikiwa Kupata Mtoto Pamoja

Mkali Iggy Azalea na Mpenzi wake  Playboi Carti ambapo wawili hao wanazimiliki vicha vya habari nchini Marekani kwa kupata mtoto wa kiume.

Iggy Azalea na mpenzi wake Playboi Carti penzi lao limefikisha miaka miwili tangu na Iggy Azalea kabla ya kuwa na Playboi hapo awali alikuwa kwenye mahusiano na mchezaji anaekipiga kwenye mchezo wa kikapu NBA aitwae Nick Young.

Iggy Azalea na mpenzi wake Rapper  Playboi Carti wameripotiwa kupata mtoto huyo wa kime wikiendi iliyopita.


EmoticonEmoticon