PSG Waibuka Mabingwa Ligi Kuu Ufaransa

Shirikisho la soka Ufaransa limetangaza club ya PSG kuwa ndio Mabingwa wa Ligi Kuu nchini humo (Ligue 1) 2019/20. 

Lakini msimamo wa Ligi ulipofikia ndio unatambulika kama mwisho wa msimu, hayo yameafikiwa baada ya Ufaransa kusimamisha michezo hadi September 2020. 


EmoticonEmoticon