Rihanna Azungumzia Swala La Ndoa Na Kupata Watoto

Rihanna ameubariki ukurasa wa mbele wa jarida la British Vogue na kuzungumza mengi ya maisha yake ikiwemo mahusiano.

Rihanna mwenye umri wa miaka 32 sasa, ametaja mpango wake wa miaka 10 ijayo, amesema anataka kuwa na watoto 3 au 4.

"I’ll be 42! I’ll be ancient. I’ll have kids—three or four of ’em.” alikaririwa Rihanna ambaye kwa sasa hayupo kwenye mahusiano.


EmoticonEmoticon