Takesh 69 Ataachiwa Huru Kisa Corona?

Rapper Tekashi 69 huenda akaachiwa kwa dhamana kutoka gerezani usiku huu baada ya ombi lake kwa Mahakama kuhusu kumuachia huru ili aweze kujikinga na Virusi vya Corona.
Imeelezwa kwamba kuendelea kukaa gerezani kungemuweka kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata maambukizi ya Virusi vya Covid-19.Tekashi 69 alikuwa akikabiliwa na kesi ya kujihusisha na makundi ya kihuni na kihalifu. 


EmoticonEmoticon