VIDEO | Drake - Toosie Slide

"Toosie Slide" Video By Drake

Drake amechukua uhalisia wa hali ya Corona kwa kipindi hichi kutokea kwenye mavazi mpaka miji kwa wakati huu ilivyo watu kujikinga na corona, ndani ya video ya wimbo wake mpya "Toosie Slide" utashuhudia yote. Video imeongozwa na Theo Skudra.


EmoticonEmoticon