Beyonce Awachana Wasanii Wenzake Pamoja Na Mashabiki Kwa Kuwaambia Ukweli

Malkia wa Muziki duniani Beyonce , amewakosoa wanamuziki ambao hawataki kutoa Album na badala yake wanatoa nyimbo moja moja kila baada ya muda fulani

Pia QUEEN BEY amewechana Mashabiki ambao wanapenda kufuatilia na kuathirika na Maisha binafsi ya wasanii na sio kazi zao .Beyonce amesema kua Mashabiki hawatakiwi kufuatilia ni Nini msanii anafanya na familia yake, watoto wake au vitu vyake binafsi , bali wafatilie kazi zake

"Mashabiki wamebadilishwa akili zao na Maisha binafsi ya wasanii, ukiamka asubuhi unaenda kuangalia picha za msanii unaempenda, amevaa nini, anaishi vipi , watoto wake nk" - amesema Queen Bey


EmoticonEmoticon