CORONA : Idadi Kubwa Ya Vifo Yazidi Kuripotiwa Marekani, Idadi Ya Waliopona, Wenye Maambukizi Mpaka Kufikia May 4 Ipo Hapa

Vifo vya corona vimeendelea kuongezeka USA ambapo hadi asubuhi hii wamefariki Watu 68,602, USA inaongoza pia kwa maambukizi Duniani, ina maambukizi ya jumla 1,188,421 na wamepona Watu 178,594, Italia vifo 28,884 na maambukizi 210,717, Hispania vifo 25,264 na maambukizi 247,122.

Verified

Kwa upande wa idadi ya vifo vya corona Duniani imeendelea kuongezeka ambapo hadi asubuhi hii vifo vya corona Duniani kote vimefikia 248,336, maambukizi ya jumla ya corona Duniani ni 3,567,152 huku waliopona corona Duniani kote wakipindukia Million moja na kufikia 1,159,319.


EmoticonEmoticon