CORONA : Madagaska Yaripoti Kifo Cha Kwanza Japo Walisema Wamepata Dawa, Wagonjwa Waongezeka

Verified

Madagascar imeripoti kifo cha kwanza cha corona huku maambukizi pia yakiongezeka na kufikia 304, wagonjwa corona waliopona wamefikia 122,Madagascar imetangaza kuwa na dawa za kufubaza corona, Tanzania inazifanyia tafiti dawa hizo ambazo ilizifuata nchini humo.


EmoticonEmoticon