CORONA : Shirika La Afya Duniani (WHO) Lasema Matumaini Ya Kupata Dawa Yapo

Verified

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hadi sasa, baadhi ya tiba zimeashiria kupunguza ukali au urefu wa ugonjwa wa COVID-19, na kwamba wanazifanyia utafiti zaidi tiba nne au tano ambazo zimeonesha matumaini, ingawa hakuna tiba iliyopatikana ambayo wao wameithibitish kuwa inaweza kuzuia au kuua virusi hivyo.


EmoticonEmoticon