Dj Khaled Afikisha Mauzo Ya Platinum Kupitia Album Yake Hii

Baada ya Mwaka mmoja tangu iachiwe, hatimae Album ya 'FARTHER OF ASAHD' ya Dj Khaled imeweza kufika Platinum (kuuza zaidi ya units million 1)

Dj Khaled anakua msanii wa pekee kufikia mauzo ya Platnumz kwenye Album 3 mfululilizo ndani ya miaka 4.
Hii Album ni kitu cha kipekee kwangu , ni kurasa mpya kwenye baraka zangu , upendo zaidi na ushindi zaidi " - alisema Dj Khaled


EmoticonEmoticon