Habari 5 Kubwa Za Soka Alhamisi Mei 14

Tetesi Za Soka Barani Ulaya Alhamisi Mei 14

1. Bayern Munich wanatafakari kuwasilisha ofa ya zaidi ya £50m kumsajili winga wa Manchester City Leroy Sane.

2. Manchester United imemnunua mshambuliaji wa Ufaransa na Lyon Moussa Dembele,23, ambaye pia analengwa na Chelsea, kwa £61.8m.

3. Barcelona imefanya mazungumzo na Juventus kuhusu usajili wa beki wa Italia Mattia de Sciglio, 27, kutoka upande wa Serie A baada ya mazungumzo ya mkataba na beak wa Portugal Nelson Semedo, 26, kugonga mwamba.

4. Chelsea wako tayari kumuuza kiungo wa kati Mfaransa Tiemoue Bakayoko, 25, kwa £31m lakini Paris St-Germain hawataki kutumia zaidi ya £26.5m kumsajili.

5. Manchester United wanataka kiungo wa kati wa miaka 16 Jude Bellingham kucheza katika kikosi cha kwanza wakifanikiwa kumsajili kutoka Birmingham City msimu huu. 


EmoticonEmoticon