Habari 5 Kubwa Za Soka Ijumaa May 1

Tetesi Za Soka Barani Ulaya Ijumaa May 1

1. Real Madrid na Barcelona wamejiunga na kinyang'anyiro cha kumsajili winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho. Manchester United pia wako mbioni kumsaka nyota huyo wa miaka 20-year-old.

2. Manchester United inapigiwa upatu kumnunu kiungo wa kati wa Aston Villa midfielder Jack Grealish, 24, kuliko mchezaji mwenza wa England na Leicester James Maddison, 23. 
3. Bayern Munich wako tayari kulipa £60m tu kumnunua winga wa Manchester City na Ujerumani Leroy Sane, 24.
4. Barcelona haitamuuza winga wa Brazil Philippe Coutinho kwa bei ya chini ya euro milioni 100 sawa na (£87m). Chelsea wamehusishwa na kiungo huyo matata wa miaka 27.
5. Manchester City wameanza kujadiliana na Barcelona kumhusu beki wa Portugal Nelson Semedo, 26. Mkataba huo utamjumuisha beki mwezake wa Portugal Joao Cancelo, 25, kujiunga na upande mwingine. 


EmoticonEmoticon