Habari 5 Kubwa Za Soka Jumatatu May 11

Tetesi Za Soka Barani Ulaya Jumatatu May 11

1. Tottenham na Arsenal wameongeza juhudi za kumsaka kiungo wa kati wa Brazil Willian kwa sababu mashauriano ya kiungo huyo wa miaka 31 kurefusha mkataba Chelsea yamegonga mwamba.

2. Borussia Dortmund wanataka kumsaini kinda wa Chelsea ambaye anacheza safi ya kati Charlie Webster 16, na kumpandisha hadhi hadi kiwango cha Jadon Sancho. 

3. Mkufunzi wa Chelsea Frank Lampard ametumia mtandao wa kijamii wa Instagram kumfuatilia Dries Mertens, ripoti zinasema Lampard amewasiliana moja kwa moja na mashambuliaji huyo wa miaka 33- wa Ubelgiji na Napoli.

4. Manchester United wamefufua azama yao ya kumsaka mshambuliaji wa Inter Milan na Argentina Lautaro Martinez, 22.

5. Gunners pia wanakabiliwa na pigo jingine la kumkosa beki wa RB Leipzig wa miaka 21-Mfaransa Dayot Upamecano baada ajenti wake kusema kuwa huenda asihame kutokana na janga la coronavirus. 


EmoticonEmoticon